Exodus 2:1-2

Kuzaliwa Kwa Musa

1 aBasi mtu mmoja wa nyumba ya Lawi akaoa mwanamke Mlawi, 2 bnaye mwanamke huyo akapata mimba, akazaa mtoto wa kiume. Alipoona mtoto huyo ni mzuri, akamficha kwa miezi mitatu.
Copyright information for SwhKC